WAZIRI JAFO AMPOKEA MWANAMFALME

Na Mwandishi Wetu Dodoma  Mwanamfalme na Mwenyekiti wa Kampuni ya Blue Carbon Sheikh Ahmed Dalmook Juma a Maktoum akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma na kupokelewa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana kwa